Wednesday, 6 May 2015

Mgombea urais Chadema kupatikana Agosti 4

>Kamati Kuu ya Chadema imepanga Agosti 4 kuwa siku ya kumpata mgombea wake wa urais ambaye ataingia kwenye kinyang’anyiro cha kumtafuta mgombea wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa)....

No comments:

Post a Comment