Mnt
Waigizaji Kajala na Wema Sepetu walikua marafiki wakubwa na hata mpaka Kajala kujichora tattoo mwilini yenye jina la Wema Sepetu kuonyesha ni jinsi gani anampenda, Wema ndio alizitoa zile Milioni 13 za dhamana na kumuokoa Kajala kwenda Jela lakini sasa hivi wawili hawa hawapatani, Kajala ameyaongea haya maneno alipokuja kwenye studio ya Millard Ayo.
Bonyeza play kwenye hii video hapa chini usikie yote aliyosema Kajala.
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi

No comments:
Post a Comment