Na Rhobi Chacha MWIGIZAJI Irene Uwoya amesema anajiandaa kuweka wazi historia yake ya maisha maana kuna watu wanapotosha mashabiki wake kwa taarifa za uongo ambazo hazina uhusiano na maisha yake halisi. Uwoya amesema atafanya hivyo kwa kuwa anataka mashabiki wake waelewe maisha yake halisi na wawapuuze wanaompakazia kwa historia za ajabu zenye lengo la kumchafua na kumrudisha nyuma katika kazi zake na uhusiano wake wa kimapenzi. “Nitayaanika maisha yangu halisi ili wote wanielewe vema na waachane na kunichukulia tofauti, maana naamini najijua mwenyewe nilikotokea na namna ninavyoishi, hivyo nitaweka wazi..
No comments:
Post a Comment