Wednesday, 6 May 2015
Shilole Aapa Kutopiga Picha Za Faragha Akiwa na Mpenzi Wake Shilole Aapa Kutopiga Picha Za Faragha Akiwa na Mpenzi Wake Tweet Kutangaza hapa piga : 0718795769 Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema kuwa hatapiga tena picha akiwa faragha na mchumba wake Nuh Mziwanda kwani zimekuwa zikivuja bila yeye kujua na kusababisha adhaulike kwenye jamii. Akizungumza na gazeti la Tanuru la Filamu, Shilole alisema alikuwa akifanya hivyo ili badaye akiwa yuko mbali na mpenzi wake apate kuangalia jinsi walivyokuwa wakifurahishana lakini mambo hubadilika zikivuja na hivyo kuwa kwaza mashabiki wake ambao wanaheshimu sanaa yake “Naapa kutopiga picha za utupu nikiwa faraga na mpenzi wangu kwani awali nilikuwa nikifanya hivyo pasipokujua kama zinaweza kuvuja kwenye mitandao ya kijamiikwani mpakasasa sijui huwa zuina vujaje na ili kukomesha halin hiyostitafanya upuuzi huo tena” alisema Shilole 05.05.2015 - Tags: SHILOLE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment