Ni pale ambapo unafanya kazi nzuri alafu Boss anafurahia na kuamua kukuzawadia chochote……. na ndivyo ilivyotokea kwa Jose Chameleone legend wa muziki Afrika Mashariki kutoke Uganda kumzawadia meneja wake gari aina ya Volks Wagen baada ya show waliyoiandaa kufanikiwa.
No comments:
Post a Comment