Wednesday, 6 May 2015

DC Makonda na mgomo wa madereva, Waziri Nyalandu.. Nini chanzo cha migomo TZ??? Sikiliza Uchambuzi wote hapa !!

stock-footage-volume-button-up
May 6 2015 #Magazeti ya Tanzania tayari yako mtaani.. Headlines zina stori nyingi zilizoandikwa, iko ya NECTA kusema kwamba hakuna mwanafunzi wa form six ambaye ameshindwa kufanya mtihani, DC Makonda amaliza mgomo wa mabasi kwa muda, magari ya Serikali Kilimanjaro yafanya biashara, CHADEMA yaanza mbio za Uchaguzi Mkuu 2015.
Kamati ya Bunge yamtimua tena Waziri NyalanduDC Makonda anusurika kupigwa mawe Ubungo, petroli na dizeli bei juu huku mafuta ya taa yakishuka.
Utamsikia pia mfanyakazi wa Safe Community, wao wameamua kutoa elimu ya Usalama barabarani kwa watoto wa shule ya msingi.
Mwingine aliyesikika ni Mhadhiri wa Chuo cha SAUT, Father Maziku ambaye amezungumzia sababu ya migomo ambayo huwa inajitokeza mara kwa mara TZ.
Hizo zote ziko kwenye hii sauti, bonyeza play kusikiliza.

No comments:

Post a Comment